Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Ningependa kuwakumbusha mashabiki wenzangu wa Arsenal ya kuwa, kwa sasa tupo kwenye hatari zaidi ya kudhuriwa na mashabiki wa timu zengine kuliko vipindi vyote.
Yani amani imepungua. Yote ni kwa sababu tupo juu ya msimamo wa ligi kwa sasa na vile vile tupo kwenye kiwango bora, jambo ambalo haliwapendezi mashabiki wa timu pinzani.
Nasema haya kwa sababu kumekua na nyuzi nyingi humu zinazoanzishwa na mashabiki wa timu pinzani zinazoonyesha chuki za wazi juu yetu. Hata mitaani pia kumechafuka. Ni kama wamechanganyikiwa kutuona mpaka sasa tupo pale.
Hivyo tusipende kutembea mwenyewe, hasa mida ya usiku. Kama utatembea usiku hakikisha umeongozana na kundi la watu tena unaowajua, tuweke tabia ya kuingia ndani mapema, tuepuke kuvunja sheria za barabarani, n.k.
Ujumbe kwa washabiki pinzani:
Hii Arsenal itamkuta kila mtu. Hivyo kaeni kwa tahadhari.
Arsenal ipo na *****
😆