Ujumbe kwa wafuasi wa Isreal

Mwenyezi Mungu anawakataza kuwafanya marafiki wale wanaopigana nanyi katika dini
Acha kulitaja jina la Mungu bure. Mungu wa kweli hawezi shangiliwa kwa kuuwa kwa watu, wala Mungu hakuleta dini imtetee au impiganie never. Huyo mnayemtetea na kumpigania kwenye hiyo dini yenu ni shetani. Yeye ndiye baba wa maovu yote.
 
Acha kulitaja jina la Mungu bure. Mungu wa kweli hawezi shangiliwa kwa kuuwa kwa watu, wala Mungu hakuleta dini imtetee au impiganie never. Huyo mnayemtetea na kumpigania kwenye hiyo dini yenu ni shetani. Yeye ndiye baba wa maovu yote
Itakuwa kalbu wewe.
 
Hiyo ni Quran nisiyoiamin so hainishughulishi
 
Uzi mwngine 😂😂🤣🤣🤣
Wakrsto na wayahudi hawamjui na kumtambua na kumuabudu mungu wako wa kiarabu allah.
 
Hapo tu ushajidhihirisha kuwa nu dhaifu kiakili na kimantiki.

Umeshindwa kujibu swali jepesi sana. Umekuja na povu. Haya, sasa jibu swali nililokuuliza.
Tatizo liko hapa, umeniuliza swali nimekujibu kwa swali la maana, simple common sense ila unataka kuzunguka na kujitoa ufahamu.
 
Unahangaika sana chief hata sijui kama unasoma kabla huja-post hapa jukwaani.

Hapo umemaanisha nini?na kwanini Africans tusihangaike kwanza na matatizo yetu?
Africa ukifa atakujua nani? Nani kafa akazikwa kiafrica? Sisi waislam ukifa utaswalia msikitini na kuombewa dua na waislam wenzio.
 
Africa ukifa atakujua nani? Nani kafa akazikwa kiafrica? Sisi waislam ukifa utaswalia msikitini na kuombewa dua na waislam wenzio.
Wewe ukifa utaombewa na Wapalestina ktk misikitini yao?
 
Inatuhusu nini Quran! Siamini katika hiyo, inakuhusu wewe na magaidi wa Hamas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…