jem the great
Member
- May 25, 2013
- 44
- 11
Ndugu zangu first year students naomba mtambue kama mmekuja vitan na sio eneo la masharabaro wala masister duu!!pale chuo ukizubaa first year unaweza kuondoka semister ya kwanza tena kwa urahisi tu kama usipokua makini..mimi n mmoja wapo wa waliodisco first semister na sio kama sikusoma NO...!!bal nilikosa umakini kdogo kwa kujijengea tabia ya kusoma mwenyewe bila discussion..na mwishowe Nilitumia pesa nyingi saana ili niweze kuongezewa marks 4 kwenye matokeo yangu ili niendelee lakin mambo yalikua magumu bado pamoja na kupoteza kias hicho cha fedha kama 2 millions hv kwa ajili ya kuongezewa 4 marks tu!!!!infact nmeishia kurudia mwaka..Kwahiyo mnaokuja mjitahidi na hili liwe kama funzo kwenu..IFM SIO PA WAUZA SURA PANAHITAJI MSULI WA KUTOSHA.