Ujumbe kwa waliochaguliwa ifm

Ujumbe kwa waliochaguliwa ifm

jem the great

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
44
Reaction score
11
Ndugu zangu first year students naomba mtambue kama mmekuja vitan na sio eneo la masharabaro wala masister duu!!pale chuo ukizubaa first year unaweza kuondoka semister ya kwanza tena kwa urahisi tu kama usipokua makini..mimi n mmoja wapo wa waliodisco first semister na sio kama sikusoma NO...!!bal nilikosa umakini kdogo kwa kujijengea tabia ya kusoma mwenyewe bila discussion..na mwishowe Nilitumia pesa nyingi saana ili niweze kuongezewa marks 4 kwenye matokeo yangu ili niendelee lakin mambo yalikua magumu bado pamoja na kupoteza kias hicho cha fedha kama 2 millions hv kwa ajili ya kuongezewa 4 marks tu!!!!infact nmeishia kurudia mwaka..Kwahiyo mnaokuja mjitahidi na hili liwe kama funzo kwenu..IFM SIO PA WAUZA SURA PANAHITAJI MSULI WA KUTOSHA.
 
Karibuni sana ifm, daah kiukweli pale mpaka nimemaliza na nategemea kupewa gamba langu Karimjee Hall mwezi November still siamini. Asikwambie mtu, ifm ione kwa nje tu kwamba ni chuo cha mabaro na maduu, ingia ndani msuli wake unaweza ukaita mama. Sisi mwaka wa kwanza kozi ya banking tulianza kama mia saba hivi lakini tuliokuja kumaliza mwaka wa tatu hata mia tatu hatufiki. Kikubwa ni kukomaa, kula bata kiakili (sio kujiachia sana na kujisahau) na KUEPUKA MAkUNDI hatarishi ambayo yanaweza yakukfanya ukapoteza dira yako.
 
duuh kaka hongera aisee..en shukran kwa ushauri,in fact m ndo nategemea kuja hapo kupga banking n finance..vp hii koz n ngumu xana??
 
Jamani vipi accounts ya huko IFM ?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mimi nimechaguliwa Bs in Taxation. Ikoje koz hii na mazngra yake ya kusoma hapo IFM? Plz npe ful detailz na uzur wa koz hyo.
 
siku nilipofika nikakuta watu wamejiachia airport na screen saver pale nkajua hapa ndo pakupumzikia na uchovu wa msuli wa advanced level,baada ya kula namba za viatu test mbili tatu za mwanzo ndo nikajua ugumu wa pale.
displine muhimu sana otherwise starehe za mjini zinakufelisha bila kutarajia.
been there 2006-2009,computer science.
 
siku nilipofika nikakuta watu wamejiachia airport na screen saver pale nkajua hapa ndo pakupumzikia na uchovu wa msuli wa advanced level,baada ya kula namba za viatu test mbili tatu za mwanzo ndo nikajua ugumu wa pale.
displine muhimu sana otherwise starehe za mjini zinakufelisha bila kutarajia.
been there 2006-2009,computer science.

Daaagh nimecheka huku najifunza.......maneno yenu nimeyapata na ntayafanyia kazi aseee
 
we inawezekana ulikuwa unajirusha sana pande za coco beach,mbona kuna marafiki zangu wanasoma pale wanakwambia ni full bata,kwahyo thread yako uliyoiweka ingefaa kama ungekuwa UDSM
 
Mimi nimechaguliwa Bs in Taxation. Ikoje koz hii na mazngra yake ya kusoma hapo IFM? Plz npe ful detailz na uzur wa koz hyo.

BACHELOR OF SCIENCE IN TAXATION(BSc-TAXATION)
This qualification intends to equip students wth the ability to analyze,evaluate,implement and monitor taxation policies. Also intends to produce candidates wth wide knowledge and skills capable of making tax analysis and revenue forecasting. The programmme will produce responsible and creative graduates who will deal wth taxation aspects. The graduates frm this programme will be competent and able to:

>Understand and apply taxation knowledge and skills relating to tax audit and investigation techniques

>Assist the govt,public and private sectors in obtaining qualified personnel to build their confidence in financial and socio-economic aspects of taxation

>Assess and administer both and indirect taxation
...According to IFM PROSPECTUS 2012-2013!
 
Back
Top Bottom