kwani kutooa ndio utoto babu?
Babu wengi wanaoshindwana baadae hua wanaanza hivi. Mtu anaona kabisa aliyenae sie ama kamchoka alafu eti anakubali kubaki kisa katolewa machozi ama kang'ang'aniwa. Matokeo yake ni kupotezeana muda kuwa kwenye mahusiano ambayo yataanguka tu baadae.
Kwa vile unajua possible outcomes zote, naamini utavuka salama!!
Babu DC!!
Binadamu tunatofautiana sana tena sana!
Kuna watu hata kama wanaungua, wanaweza kuendelea kubaki pale pale hadi watokee watu wengine na kuwachomoa kwenye huo moto,
Hili tunalolifanya, ni kuwasaidia watu wa namna hiyo wajiondoe kwenye utumwa wa kukaa kwenye mahusiano yasiyo na tija!!
asante babu D.C.
nyie ndo wazee wetu wakutupa mafunzo,already copied and pasted in my brain.Ubarikiwe babu.
nilipo:flypig:kutana na YESU historia ya maisha yangu yote ilibadilika.:flypig:
Babu tatizo ukiwaambia watu mahusiano yanapoleta hudhuni, discomfort, ukosefu wa amani na furaha zaidi ya furaha, mapenzi na heshima aachane nayo utaishia kuulizwa "NI/UTAACHA NA WANGAPI?". Mwisho wa siku kama mtu hajijali wala kujithamini unakosa namna ya kumsaidia mpaka mwenyewe atakapoona kwamba anastahilo zaidi ya anachopata ama anachopata sicho anachostahili kabisa.
Ahsante sana Cheusi,
Hiyo avatar inatoa msg gani???
Mbona hutuelezi ulikutana naye wapi ili tukimbilie huko??
Ni very private kiasi kwamba tusome avatar tu???
Babu DC!!
Hilo swali litakuwa rahisi kama watu watazingatia umuhimu wa kuwa na vision + mission toka wanapoanza mahusiano...Pia wakwepe kutanguliza ngono kama chambo cha kukamatia wenzao. Na muhimu zaidi, kuweka value kwenye muda ili wapunguze costs of change!!
Ila wale ambao wanakubali kuendekeza sex basi wachukulie kirahisi tu, kama vile kwamba wako kwenye michezo ya kawaida e.g. netball ili wakishindwa wasijinyonge!!
Babu DC naomba niruke kipengele cha avatar yangu,
najisikia furaha zaidi kuongea na ww nilipokutana na Yesu,jinsi ilivyokua,kabla yakukutana naye na jinsi ilivyokua baada ya kukutana naye,nitakuandikia waraka maalum maana nikiandika hapa thread yako yaweza poteza mwelekeo.
Take care babu.

Do you have a bun in the oven?
Hua ninakukubali sana Nyani Ngabu!
Mmhhhhh sijui,
Ila siku za karibuni umefunguka zaidi na Babu amekuwa impressed!!
Babu DC!!
Oh yeah? Kwa nini?
Hahahahaa. . . .
Hopefully jibu wamepata na wataanza kuzingatia ASAP. Sema wengine mpaka sex iwe involved ndio hua wanaestablish kua wapo kwenye mahusiano. Kwahiyo lazima washiriki alafu baada ya muda wanagundua mambo hayako kama walivyotegemea/penda yawe.

kizazi hiki?