Ujumbe kwa wanasiasa wanaoftarisha

Ujumbe kwa wanasiasa wanaoftarisha

Wapo wale watakatishaji wa biashara wanatumia futari katika kujifanya wema na kutafuta amani dhidi ya wale wanaowatendea ubaya siku zote. Kodi kule TPA inalipwa robo tu ile robo tatu inayobakia yote ndio pesa inayotumika katika kujionyesha mbele ya watu kuhusiana na wema wa bandia.

Huu unaitwa unafiki na malipo yake huwa yapo, yanaweza kuonekana yamechelewa lakini yapo.

Yanga ya GSM imefuturisha wadau wa mpira kwa lengo la kujidai wanao usafi. Nyuma ya pazia ni hawa hawa wanaotumia pesa kuzidhamini timu nyingine saba huku wakihakikisha kila mojawapo inapocheza na Simba inatumia nguvu kubwa na ikiwezekana inacheza rafu mbaya zenye nia ya kuwaumiza wachezaji wa Simba lakini wanapocheza na Yanga hata vikosi vyao vinakuwa vyepesi tu.

Ni hawa hawa GSM wanaofanya fitina nyingi za pembeni kuiharibia Simba wakijua ipo futari ya kuwasafisha machoni mwa jamii ya kitanzania.
 
Eh ila jaman Kuna watu wanafaidika ukute mtu ndo anategemea iyo mikusanyiko ili aingize kitu kinywani
 
Back
Top Bottom