Ujumbe kwa watoto wangu

Ujumbe kwa watoto wangu

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Ntawapa mbinu na elimu ya kuishi kwenye hii dunia ila vitu, Kama nyumba, kiwanja nk. hiyo hapana

Mimi Kama nitapata kwangu nitajenga nyumba yangu pembeni yenye chumba kimoja na sebule baaas.

Mambo ya kuteseka kisa watoto ambao washakuwa wakubwa sitaki, duniani nafasi ni moja tu, ukienda vibaya unateseka mpaka kifo kinakukuta.
 
Sema huna hela mkuu watoto watakuelewa kwa kile unacho waachia, hakuna mzazi anataka mwanae apate shida au asimsaidie
 
Back
Top Bottom