PostGE2025 Ujumbe kwa Waziri wa Vijana, Joel Nanauka

PostGE2025 Ujumbe kwa Waziri wa Vijana, Joel Nanauka

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafunzo ya Udereva

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2025
Posts
620
Reaction score
925
Mh Joel Nanauka , Hongera unafanya Kazi nzuri Sana .

kumekuwepo na mipango mingi Sana , Ila pamoja na yote lipo kundi la Vijana
Ambao wameishia darasa la saba na Form four failure .

kundi hili ndo kundi hatari zaidi, kwanza limeshakata tamaa ya Maisha na linajiendea tu lipo katika Autopilot.

Na kundi hili ndo limekuwa likitumika, na wanaharakati kwakuwa ndo kundi ambalo halina Elimu wala ujuzi wowote .

Fikirieni hapa pia ikiwa tumejipanga kuiweka TANZANIA katika mikono salama.

(HOV)

The Leader

#MamaTanzania
#JoelNanauka
#Taifakwanza
 
Ccm ya sasa haitaki mtu anaefanya kazi mzuri akakubalika na wananchi, maana kisiasa wanahisi anatishia nafasi za akina riz na wanu, ngoja tuone kama huyu nanauka sifa mnazompa hayatamkuta ya january na wenzake.
 
Nanauka no m habari nyingine
 
Back
Top Bottom