Mh Joel Nanauka , Hongera unafanya Kazi nzuri Sana .
kumekuwepo na mipango mingi Sana , Ila pamoja na yote lipo kundi la Vijana
Ambao wameishia darasa la saba na Form four failure .
kundi hili ndo kundi hatari zaidi, kwanza limeshakata tamaa ya Maisha na linajiendea tu lipo katika Autopilot.
Na kundi hili ndo limekuwa likitumika, na wanaharakati kwakuwa ndo kundi ambalo halina Elimu wala ujuzi wowote .
Fikirieni hapa pia ikiwa tumejipanga kuiweka TANZANIA katika mikono salama.
(HOV)
The Leader
#MamaTanzania
#JoelNanauka
#Taifakwanza