Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Mdau anasema, tafadhali Sana usialike watafutaji wa kazi kwenye usaili Kama ulipanga kuitoa nafasi hiyo ya kazi kwa ndugu jamaa au marafiki. Wapo wanaokuja katika usaili kwa Nauli za kuazima Tena kwa umbali mrefu😠imenihuzunisha Sana.