Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
Njaa njaa njaa ni hatari sana....
Umalaya tuu
Nchi ina wadangaji rundo
Jua na Wadangwaji kibao
Tumechoka ni usaliti huo
Mkuu poverty ni mbaya sana we isikie tu kuna wakati anafanya maamuz magumu ilikuokoa jahaz nyumban mke mwenyewe wa digital kila kitu pesa....Alafu huo umalaya sasa 99%ni mamen..hayaoni hata aibu...yanawekewa mitego yanaingia king!dume zima kuhongwa ili lisaliti wenzake!mafedhuli mno haya mambwa! Shame on them! Majitu yanamna hii huyapigii kura acha familia yake impeleke bungeni!
Kwann Mkuu.....Meno ya chicken, Kuna watu wanajuta kujua jina lako
Kwann Mkuu.....
// project 2.1 family clinic