Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Mi, nipo tayali naku ngoja wewe
naja nipo njiani,we uko tayari?
naja nipo njiani,we uko tayari?
poa nafika hapo muda si mrefu
Haya haya mie nipo kwa chumba nimetulia, ukifika nishtue
mwendo wa XR leo
nimechoka kupanda gari lol!
ah ah! Hapo ndio panyewe si unajua nimifoleni ya huku, so kwa hiyo ndio itatufaa
yah!inatufaa kwa leo
Ndio, maana nakupendaga shemeji angu, unajua maujanja
umeona eeee
ujanja muhimu mjini
kweli nimekukubali, ndio maana kipindi tunasoma nili kukomaliaga sana
nikomalie sasa hvi
maana husbnd loya yupo
busy, Tonykp yupo kijijini
te te teh! umemuona mimisa?
mh!leo sijamuona kabisa
kwani amekuja?mwambie unanitoa out!
nae, naona kaenda kijijini kwaiyo tunafanyaje sasa
tubadilishane
wao wakutane kijijini
sie tukutane mjini,asie kuepo
na lake halipo!
hapo umenena la maana, kwaiyo tunafanya mapinduzi?
yeah!tunaita vise vesa!
watajijua huko walipo!
nishafika fungua geti!
Sasa shem tukinogewa itakuaje? Huoni tutaleta mpasuko na ndoa zetu kuvunjika