Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
mama yangu
we Judgement ww na manoah
hivi mtajibu nini kwa Ruttashobolwa
mi wala sijalala na mtu huko kwa hotel!
Mkuu Judgement tunamalizia usingizi wetu hapa na shemeji yangu mpenzi Passion Lady baada ya ulabu kupanda kwa head
Should i note that lov?
Aiseeeeeh! Should i close my eyes?
Cc Passion Lady
hahaaa!amarula itaniletea
nanilii mi staki
usiclose your eyes wala nn
uongo tu my bby,wanakuonea wivu
hao nia yao tugombane!
Hii ndio, nzuri kwani tumeelewanaje'
Ok lov wanahangaika bila mafanikio!
we taratibu ma husbnd
yupo huku amekuja,tuongee baadae!
loya akiona ni hatareee!
shem una maneno wewe
ndio maana wanaku judge!
mambo ya manoah hayo
Shemeji yangu tuendelee kupendana wala tusiachane kamwe
Aiseeeeeh! Should i close my eyes?
Cc Passion Lady
hahaaaa!akuuu nampenda loya peke yake!