Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Yale mapenzi uliyo nipa jana kesho nitarudi mama, aah! Jamani shemeji yangu Passion Lady sitokubali
nakupenda kama shemeji yangu!
hahaaa!acha kunichongea basi
ngoja Arushaone askie atajinyonga
maana nimemkataa!
yamekua hayo tena
staki kesi mimi
Hata mie nakupenda kama shemeji yangu kipenzi, na nilie kua nawe class moja, hata tulivyo enda kwenye lile bash tulilala pamoja
heheeee!we kiboko aisee
we mme wa mtu bana
Hata wewe mke wa mtu, leo tena eti?
sasa wenzetu wakijua si ni balaa
mimi staki kabisa i do love loya so much!
Wajue mala ngapi? Kamoni huku tujivinjari zaidi ya jana
ok nakuja bas
nitajitahidi!
Ok, nikuandalie nini
msosi tutaenda kula hoteli
kinywaji redbull mbili zatosha
pombe nimeacha!
Ivi shemu ukinasa miezi tisa nitasemaje kwa kamanda wangu