Chawa ni wafuasi ng'ombe wa watu wazito wazito wenye kutanguliza maslahi ya matumbo mbele.
Mpanda ngazi hushuka.
Baadhi ya watu hao hukumbuka shuka wakati kunakuwa kumekwisha kucha:
Your browser is not able to display this video.
"Ama kwa hakika misimamo yenu katika neema inakwaza mno jitihada zenu kujaribu kujivua magamba kwenye kipindi cha uhitaji."
Ikumbukwe uchawa ni jambo rahisi mno kwa kila ana yeongozwa na njaa yake iliyopitiliza tu kuukumbatia.
Kwa kutokuwa chawa, leo Mbowe yuko gerezani, Lema na Lissu wameikimbia nchi. Kwa kuwa chawa tu wangekuwa huru, majumbani mwao wakila bata za kufa mtu na familia zao.
Kwa kutokuwa chawa Ben, Mawazo na wengi wengine wangekuwa hai leo, huru wakifurahia maisha na familia zao.
Polepole, Ndugai au Etwege, Stroke, Nigrastratatract na wenzenu mtamwaminisha nani leo kuwa ibara ya 18 ya katiba sasa inakiukwa kwenu?
🤣🤣
Ankali hebu nisikilize....ankali eee wanaonijua watakueleza kuwa mimi si chawa bali kijana mwenye OBSSESSION na itikadi ya CCM....
Ankali eee mimi si chawa bali ninakipenda CCM kwa kuwa ninawajua watanzania....ninazijua hulka zao....CCM kinaendana na hulka za watanzania walio wengi....labda ningekuwa mkenya na niko Kenya nisingekisapoti CCM...🤣🤣
Ankali sina sifa nyingi bali nina utii na ahadi kwa yeyote aliye juu yangu kikazi na kimajukumu.....
Ankali mimi si "mwanaharakati" wa silsila za siasa na itikadi za kiliberali .....
Ankali eee hata wewe ukinipa kazi ya ukolokoloni hapo nyumbani kwako basi hutojuta kwa UTII NITAKAOKUONESHA......
Ankali naipenda CCM mno toka awamu ya 4,5,6 na hata ukiwa wewe mwenyekiti wetu taifa wa awamu ya 8 nitakutii vilevile......
Hau eee mchana mwema hapo "KIBANDANI" mtaa wa ufipa....🤣🤣🤣
Uhuru wa kutoa maoni kama unavyoonekana katika Ibara ya 18 ya Katiba sio absolute lazima utumike kwa kuzingatia sheria nyingine tulizojiwekea kama Nchi.
Swala la Mbowe limeshafika Mahakamani hivyo tunapaswa kuamini mchakato huo tukitarajia mwisho wake.
Swala la kama mbowe kweli kafanya au hakufanya linabakia kwake yeye na Mungu wake kwani yeye Mbowe ana maisha ya aina mbili 1. Maisha ya kisiasa ambayo ndiyo wengi wetu tunamfahamu 2. Maisha binafsi ambayo ni wachache mno wanaweza yafahamu.
Ikumbukwe kwamba Kesi za jinai huwa zinahitaji jamhuri kuthibitisha madai pasi na shaka yeyote hivyo kwa mshtakiwa kuwa huru hii inategemea na ushahidi uliopatikana wakati anapelekwa mahakamani.
Kama ushahidi haujitoshelezi basi anaweza achiwa. Ila kama ushahidi utajitosheleza basi atatiwa hatiani.
Inawezekana kabisa akawa ametenda kosa lakini ushahidi usijitosheleze.
Ndio maana nasema wadau wapunguze mihemko na kuacha mahakama ifanye kazi yake.
Pili swala la kuwa kosa limetendeka ama la lipo ndani ya moyo wa Mbowe mwenyewe. Yeye ndio anajua kuliko mtu mwingine yeyote lakini anaweza akaamua kukaa kimya.
Chawa na nao wana makundi yao
1. Chawa original > hawawapo mda wote bilakujali hari na wakati wataaramu wa kuwinda fulsa.
2. Chawa viparata > hawa wana njaa ya msimu na hupatikana zaidi wakati wa uchaguzi.
3. Chawa mtandao > hawa maskani yao mtandaoni kusifu na kuabudu mtandaoni ili waonekane
4. chawa kiguruwe > hawa kazi yao kujifanya wanawakilisha mawazo ya watanzania bila kutumwa
5. Chawa madoido > si weusi wala si weupe wapowapo tu hawa ni bendera fuata upepo.
Huyo anajiita Nyuki wa mama.
Ni mdudu tu kama wadudu wengine. Nzi wa kijani, kenge, Chawa , viroboto na kupé.
CCM imejaa wadudu.
Njaa imewafanya hawa watoto waolewe Mombasa na wanaume wenzao.

Bwana Jumbe Brown zingatia wadudu hao kwa utambuzi zaidi.
Kwamba wenzetu mmejazana wadudu wakiwamo "mwende," si mbaya kujitendea haki tu mkuu angalau ukajua yupi ni yupi au wewe ni mdudu gani hapo hata kama itabakia siri yako.
Huyo anajiita Nyuki wa mama.
Ni mdudu tu kama wadudu wengine. Nzi wa kijani, kenge, Chawa , viroboto na kupé.
CCM imejaa wadudu.
Njaa imewafanya hawa watoto waolewe Mombasa na wanaume wenzao.
Uhuru wa kutoa maoni kama unavyoonekana katika Ibara ya 18 ya Katiba sio absolute lazima utumike kwa kuzingatia sheria nyingine tulizojiwekea kama Nchi.
Swala la Mbowe limeshafika Mahakamani hivyo tunapaswa kuamini mchakato huo tukitarajia mwisho wake.
Swala la kama mbowe kweli kafanya au hakufanya linabakia kwake yeye na Mungu wake kwani yeye Mbowe ana maisha ya aina mbili 1. Maisha ya kisiasa ambayo ndiyo wengi wetu tunamfahamu 2. Maisha binafsi ambayo ni wachache mno wanaweza yafahamu.
Ikumbukwe kwamba Kesi za jinai huwa zinahitaji jamhuri kuthibitisha madai pasi na shaka yeyote hivyo kwa mshtakiwa kuwa huru hii inategemea na ushahidi uliopatikana wakati anapelekwa mahakamani.
Kama ushahidi haujitoshelezi basi anaweza achiwa. Ila kama ushahidi utajitosheleza basi atatiwa hatiani.
Inawezekana kabisa akawa ametenda kosa lakini ushahidi usijitosheleze.
Ndio maana nasema wadau wapunguze mihemko na kuacha mahakama ifanye kazi yake.
Pili swala la kuwa kosa limetendeka ama la lipo ndani ya moyo wa Mbowe mwenyewe. Yeye ndio anajua kuliko mtu mwingine yeyote lakini anaweza akaamua kukaa kimya.
Mada mkononi ni kuhusu "chawa" na sasa "nyuki" nao wanasikika.
Mkuu hujajitendea haki kwa kushindwa kuona kuwa uzi huu haumhusu Mh. Mbowe au kesi yake.
Hata hivyo haya ya kesi ya Mbowe mahakamani na sheria kufuata mkondo wake si ni mwendelezo wa siasa zile zile tu ambazo hata wewe utakuwa unazijua?
Kwenye mada, kumhusu Mbowe mbona ulikuwa ka mfano kadogo (insignificant) tu? Kwani hata ni siri basi?
"Kama Mbowe angekuwa chawa wa jiwe au wa mama leo asingekuwa gerezani.
Lema angekuwa chawa angekuwa nchini raha mustarehe.
Lissu angekuwa chawa leo angekuwa hata waziri."
Vivyo hivyo kwa akina Ben, Azory, Mawazo, wa kwenye viroba, Lijenje na hata kina Malema.
Uchawa tunauongelea ni kama huu mjomba:
Your browser is not able to play this audio.
Tukuunge mkono vipi kwa misingi ya ibara ya 18 ya katiba kama wewe ni Sirro, Kingai Mahita Goodluck Jumanne Polepole, Jumbe Brown nk bila hata neno la kuomba radhi?