Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Ooo kumbe hau mwanamuziki hatakiwi kumshabikia mwanasiasa na kufanya alichofanya Harmonize?!!Siasa na ushabiki wapi wa wapi? Ushabiki mipirani na kwenye Muziki ambapo hatutegemei upepo kugeuka.
Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula
View attachment 2079519
Vipi Polepole leo kulalamika? Kwamba upepo umebadilika siyo?
Alaa kumbe ndg.Mariki alipomchora mh.Mbowe begani azodolewe kwa kuwa yeye ni fundi mwashi kule Ali Mauwa?!!!🤣🤣