Jumbe Brown JF-Expert Member Joined Jun 23, 2020 Posts 12,077 Reaction score 12,786 Jan 13, 2022 #21 brazaj said: Siasa na ushabiki wapi wa wapi? Ushabiki mipirani na kwenye Muziki ambapo hatutegemei upepo kugeuka. Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula View attachment 2079519 Vipi Polepole leo kulalamika? Kwamba upepo umebadilika siyo? Click to expand... Ooo kumbe hau mwanamuziki hatakiwi kumshabikia mwanasiasa na kufanya alichofanya Harmonize?!! Alaa kumbe ndg.Mariki alipomchora mh.Mbowe begani azodolewe kwa kuwa yeye ni fundi mwashi kule Ali Mauwa?!!!🤣🤣
brazaj said: Siasa na ushabiki wapi wa wapi? Ushabiki mipirani na kwenye Muziki ambapo hatutegemei upepo kugeuka. Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula View attachment 2079519 Vipi Polepole leo kulalamika? Kwamba upepo umebadilika siyo? Click to expand... Ooo kumbe hau mwanamuziki hatakiwi kumshabikia mwanasiasa na kufanya alichofanya Harmonize?!! Alaa kumbe ndg.Mariki alipomchora mh.Mbowe begani azodolewe kwa kuwa yeye ni fundi mwashi kule Ali Mauwa?!!!🤣🤣
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Jan 13, 2022 Thread starter #22 Jumbe Brown said: Ooo kumbe hau mwanamuziki hatakiwi kumshabikia mwanasiasa na kufanya alichofanya Harmonize?!! Alaa kumbe ndg.Mariki alipomchora mh.Mbowe begani azodolewe kwa kuwa yeye ni fundi mwashi kule Ali Mauwa?!!!🤣🤣 Click to expand... Nduguyo yuko hapa: Mfahamu jamaa aliyechora tattoo yenye sura ya rais Samia
Jumbe Brown said: Ooo kumbe hau mwanamuziki hatakiwi kumshabikia mwanasiasa na kufanya alichofanya Harmonize?!! Alaa kumbe ndg.Mariki alipomchora mh.Mbowe begani azodolewe kwa kuwa yeye ni fundi mwashi kule Ali Mauwa?!!!🤣🤣 Click to expand... Nduguyo yuko hapa: Mfahamu jamaa aliyechora tattoo yenye sura ya rais Samia