Peter Dafi JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 394 Reaction score 272 Feb 8, 2026 #1 #dafitips Ujumbe wangu mfupi kwa maadhimisho ya Miaka 49 ya CCM View: https://youtu.be/D6wSTppiLiE?si=jq8mVBs9RbnrhbsJ Video ππΏππΏππΏ Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi ni ushahidi wa imani ya wananchi kwa Chama chao. Lakini ili CCM iendelee kushika Dola, lazima ibaki kuwa Chama cha kusikiliza watu, kuongoza kwa mfano, na kutanguliza maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi. View: https://www.instagram.com/reel/DUc9JeXDU63/?igsh=MTYwZjhxYzg0Zmp2cA== Historia imetujenga, lakini uwajibikaji wa leo ndiyo dhamana ya kesho. Umoja, maadili, na utendaji ndivyo vitakavyoendeleza ushindi wa CCM. CCM itadumu kadri itakavyobaki karibu na wananchi. #samia #kazinaututunasongambele #kaziiendelee #samiasuluhuhassan
#dafitips Ujumbe wangu mfupi kwa maadhimisho ya Miaka 49 ya CCM View: https://youtu.be/D6wSTppiLiE?si=jq8mVBs9RbnrhbsJ Video ππΏππΏππΏ Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi ni ushahidi wa imani ya wananchi kwa Chama chao. Lakini ili CCM iendelee kushika Dola, lazima ibaki kuwa Chama cha kusikiliza watu, kuongoza kwa mfano, na kutanguliza maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi. View: https://www.instagram.com/reel/DUc9JeXDU63/?igsh=MTYwZjhxYzg0Zmp2cA== Historia imetujenga, lakini uwajibikaji wa leo ndiyo dhamana ya kesho. Umoja, maadili, na utendaji ndivyo vitakavyoendeleza ushindi wa CCM. CCM itadumu kadri itakavyobaki karibu na wananchi. #samia #kazinaututunasongambele #kaziiendelee #samiasuluhuhassan
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 Feb 8, 2026 #2 Umeporoka upumbavu , watanzania wa sasa sio vilaza ,kwamba hawaoni wala kutambua.