PostGE2025 Ujumbe Muhimu Kutoka kwa Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kuhusu Maisha

PostGE2025 Ujumbe Muhimu Kutoka kwa Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kuhusu Maisha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakuna kinachonipa raha ila nimefurahishwa na huo ujumbe wake maana unaakisi uhalisia wa maisha. Hatujui yajayo. Hata yeye anaweza kuibuka huko mbele ya safari na kuja kuwa rais au kuwa na cheo kingine kikubwa huko duniani. Who knows?

Lakini pia kuna irony fulani hapa. Kama alijua kuwa maisha ni mlima kwa nini hakusimamia haki alipokuwa spika? Ni mmojawapo wa maspika wa hovyo tuliowahi kuwa nao. Hakujua kuwa maisha ni mlima?

Na wewe ni kipi kinachokufanya ukomalie topiki hii? Kwa vile aliimba zamani ina maana kwa sasa maisha yameshaacha kuwa mlima na kugeuka mteremko tu? Pointi yako hasa ni nini?
Mshindi wew
 
Back
Top Bottom