Pure Gentleman
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 351
- 871
Rangi zote tutaziona na bado tutaimba wimbo mmoja shetani hana rafiki
Focus kwenye ujumbe na muktadha (context). Au unawaza mapishi? 🚮Aliimbaga mda labda kama unaona leo
Ndio kuna kupanda na kushuka na Biteko
Ujumbe ndio aliu toa zamanFocus kwenye ujumbe na muktadha (context). Au unawaza mapishi? 🚮
Hata kama aliutoa kabla Yesu hajazaliwa. It is more relevant now than ever, given what has just happened to her. Do you need to be a rocket scientist or a neurosurgeon to infer this? 😳Ujumbe ndio aliu toa zaman
Mbona kako vizuri tu hasa ukizingatia kuwa ni Kanyaki?Anaekula huu mzigo kazi anayo
Sawa kwahy wewe hapo kinacho kupa raha ni kip?Hata kama aliutoa kabla Yesu hajazaliwa. It is more relevant now than ever, given what has just happened to her. Do you need to be a rocket scientist or a neurosurgeon to infer this? 😳
Tunatofautiana mitazamo, hata nkifikiria anafit mkao gani ili madini yachimbike sipati picha.Mbona kako vizuri tu hasa ukizingatia kuwa ni Kanyaki?
... kama katoto Fulani ka mitaani! Tulia Ackson ana kipaji cha COMEDY!
Hakuna kinachonipa raha ila nimefurahishwa na huo ujumbe wake maana unaakisi uhalisia wa maisha. Hatujui yajayo. Hata yeye anaweza kuibuka huko mbele ya safari na kuja kuwa rais au kuwa na cheo kingine kikubwa huko duniani. Who knows?Sawa kwahy wewe hapo kinacho kupa raha ni kip?
Amechangia pakubwa kutufikisha hapa tulipo. Alikuwa anaendesha bunge kama shule yake ya chekechea. Sijui hakujua kuwa maisha ni mlima? Hovyo kabisa!Amezuia mijadala mingi muhimu kuhusu hili taifa na mustakabali wake, na kuwapa vifungo watetezi wa Taifa kama Mpina.