Ujumbe muhimu kwa wanawake wote

Ujumbe muhimu kwa wanawake wote

Baba Kisarii

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2024
Posts
1,844
Reaction score
3,089
Huu ni ujumbe muhimu kwa wanawake wote, unaanza hivi.....

Ikiwa una mwanaume(umeolewa) maishani mwako, mtunze na umheshimu kwa kila njia.

Ikiwa wewe ni mseja , ishi maisha yako kwa ukamilifu.

Ikiwa unatamani wanaume hovyo hovyo , utachukuliwa na mbwa mwitu wakali.

Huo ndio ujumbe wenyewe, mwenye masikio na asikie.
 
Back
Top Bottom