Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kafanya jambo la kiuungwana sana.
Maumivu ni lazima yahusike, hao jamaa kwa kiasi fulani waliichangamsha E fm/tvKwenye ujumbe wake kuna uzi mwembamba sana kati ya maumivu na hasira kwambaaaaaali....
Inawezekana kwa ushawishi wa kitita cha kutosha.Wanaweza wakarudi tena kama sio wote basi mmoja wao...
Jeshini unapewa adhabu na hautakiwi kulia wala kununaKwenye ujumbe wake kuna uzi mwembamba sana kati ya maumivu na hasira kwambaaaaaali....
Naunga mkono hoja, niswala la muda tuWanaweza wakarudi tena kama sio wote basi mmoja wao...
Ujumbe umejieleza wazi kabisa.
Hakuna media tanzania ingemuunga mkono Gerald kwa maoni yake yale dhidi ya serikali kwani kamwe hata kule Wasafi hawezi kuyatoa ! Uwezi ku survive kwenye business ukapambana na serikali ukashinda!Kuhusu Gerald Hando, ni yeye mwenyewe ndiye kazingua.
Kwa Tanzania wala haishangazi. Kwani Katiba ya nchi inampa umungu mtu na umiliki wa nchi Rais kama nyumba ya urithi wa baba yake.Hakuna media tanzania ingemuunga mkono Gerald kwa maoni yake yale dhidi ya serikali kwani kamwe hata kule Wasafi hawezi kuyatoa ! Uwezi ku survive kwenye business ukapambana na serikali ukashinda!
Inawezekana walishinikizwa. Ila kama ni kujipendekeza kwa serikali walikosea sana maana yalikuwa maoni yake binafsi. Sasa mambo ya kudhalilishana eti tumeshamchukulia hatua kama kituo haikuwa poa aisee.Kwa Tanzania wala haishangazi. Kwani Katiba ya nchi inampa umungu mtu na umiliki wa nchi Rais kama nyumba ya urithi wa baba yake.
By the way Aliyeyaongea hayo ni mwenye kituo au mfanyakazi tu!? Mwenye kituo angesema tu hayo ni maoni binafsi ya mtangazaji shida ingekuwa wapi hadi kuifanya kuwa big deal kiasi kile!? Au ni kweli kuwa mtaji wake inawezekana ni wa magumashi
Wanaondoka na kurudiWanaweza wakarudi tena kama sio wote basi mmoja wao...
Huwezi kuondokewa na Magwiji Wanne ( 4 ) Kitenge ( Michezo ), Hando ( Mijadala ), Bdozen ( Muziki ) na Oscar ( Uchambuzi ) halafu ukaonyesha hujaumizwa na Kinafiki unatoa Sifa na kuwatakia Kila la Kheri huko Waendako.Kwenye ujumbe wake kuna uzi mwembamba sana kati ya maumivu na hasira kwambaaaaaali....