Ujumbe mzito wa Majizzo kwa Kitenge, Hando, Bdozen na Oscar Oscar

Ujumbe mzito wa Majizzo kwa Kitenge, Hando, Bdozen na Oscar Oscar

Kuna jambo nyumba ya ujumbe wake,sio kawaida Sana staff wanne kwa mara Moja kuondoka.

Tafakari
 
Ilikuwa wakati mzuri sana kufanya kazi na ndugu zangu Maulid Kitenge, Gerald Hando, B Dozen na Oscar Oscar.

Nitaendelea kuwashukuru na kuwaheshimu sana kwa mchango walioweka hapa #EFMnaTVE. Nawatakia mafanikio katika ajira zao mpya, mafanikio yao ni mafanikio ya tasnia na hiyo ni furaha yangu.

All the best ndugu zangu🙏🏻

#MuzikiUnaongeaView attachment 2597151
Bora lingeondoka lile pumbavu la kipindi cha michezo asubuhi
 
Hakuna media tanzania ingemuunga mkono Gerald kwa maoni yake yale dhidi ya serikali kwani kamwe hata kule Wasafi hawezi kuyatoa ! Uwezi ku survive kwenye business ukapambana na serikali ukashinda!
Hando amefanya vyema tuu kumwacha huyo jamaa , issue aliikomalia kama kwamba anapewa ruzuku na serikali , kumtengua jamaa na kumshinikiza aombe msamaha yalikuwa maamuz ya hovyo Sana , pale Wasafi akina Baba levo wanafanya blunders na still hawapigishwi magoti
 
Huwezi kuondokewa na Magwiji Wanne ( 4 ) Kitenge ( Michezo ), Hando ( Mijadala ), Bdozen ( Muziki ) na Oscar ( Uchambuzi ) halafu ukaonyesha hujaumizwa na Kinafiki unatoa Sifa na kuwatakia Kila la Kheri huko Waendako.

Mwambieni Majizzo wenu Tajiri Diamond Platnumz wa Wasafi Media anajiandaa Kummaliza kwa Dada Bingwa wa Simulizi katika Redio za Tanzania Veronica Frank na ni Suala la muda tu.
Daah nouma Sana
 
Back
Top Bottom