Ujumbe mzito wa Majizzo kwa Kitenge, Hando, Bdozen na Oscar Oscar

Huwezi kuondokewa na Magwiji Wanne ( 4 ) Kitenge ( Michezo ), Hando ( Mijadala ), Bdozen ( Muziki ) na Oscar ( Uchambuzi ) halafu ukaonyesha hujaumizwa na Kinafiki unatoa Sifa na kuwatakia Kila la Kheri huko Waendako.

Mwambieni Majizzo wenu Tajiri Diamond Platnumz wa Wasafi Media anajiandaa Kummaliza kwa Dada Bingwa wa Simulizi katika Redio za Tanzania Veronica Frank na ni Suala la muda tu.
Afadhali ume toka jela Mr talenti Bigi fella Piwa sijui nini nini huko mbeleee.....😜
Kwanza wakati haupo, kuna panya walikua wana panda hadi juu kabisa kwenye makabati...🤣 maana kule sio kuruka tena...😂
 
Ilikuwa wakati mzuri sana kufanya kazi na ndugu zangu Maulid Kitenge, Gerald Hando, B Dozen na Oscar Oscar.

Nitaendelea kuwashukuru na kuwaheshimu sana kwa mchango walioweka hapa #EFMnaTVE. Nawatakia mafanikio katika ajira zao mpya, mafanikio yao ni mafanikio ya tasnia na hiyo ni furaha yangu.

All the best ndugu zangu[emoji1317]

#MuzikiUnaongeaView attachment 2597151

Kwanini wameondoka kwa wakati mmoja
 
Huwezi kuondokewa na Magwiji Wanne ( 4 ) Kitenge ( Michezo ), Hando ( Mijadala ), Bdozen ( Muziki ) na Oscar ( Uchambuzi ) halafu ukaonyesha hujaumizwa na Kinafiki unatoa Sifa na kuwatakia Kila la Kheri huko Waendako.

Mwambieni Majizzo wenu Tajiri Diamond Platnumz wa Wasafi Media anajiandaa Kummaliza kwa Dada Bingwa wa Simulizi katika Redio za Tanzania Veronica Frank na ni Suala la muda tu.
Mkuu popoma kwann usiende kuziba nafsi pale pale efm kuliko kukah Huku kutwa nzima kurusha matusi

Nenda kaombe nafasi za michezo
 
Ilikuwa wakati mzuri sana kufanya kazi na ndugu zangu Maulid Kitenge, Gerald Hando, B Dozen na Oscar Oscar.

Nitaendelea kuwashukuru na kuwaheshimu sana kwa mchango walioweka hapa #EFMnaTVE. Nawatakia mafanikio katika ajira zao mpya, mafanikio yao ni mafanikio ya tasnia na hiyo ni furaha yangu.

All the best ndugu zangu[emoji1317]

#MuzikiUnaongeaView attachment 2597151
Powerful msg
 
Back
Top Bottom