Ujumbe mzito wa Majizzo kwa Kitenge, Hando, Bdozen na Oscar Oscar

chunguzeni kwa umakini hizi redio tatu Clouds fm,wasafi, Efm zipo chini ya boss mmoja. wanachofanya ni marketing strategy tu . unapaswa kuwa makini sana kuamini haya.

ni suala la muda kuwa wengine watasepa wasafi kwa stori za kubumba wataenda kujoin clouds na wasafi fm
 
No! Labda Mawingu na Wasafi ndio kuna ukaribu.
 
Yeye abaki na Msoga gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…