Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Kichwa cha habari hakiendani na karne ya 21. Mwanamke hachungwi kama unatafuta matatizo ya akili- anza kumchunguza mkeo. Mahusiano yanahitaji watu wawili , huwezi kulazimisha mapenzi - tena mapenzi na mke wa mtu. Huyo kijana alikuwa anatafuta kifo.
 
Yaani maisha yako yote,summary yake ni ka kiungo katikati ya miguu ya mwanamke!!!Ukioa unasema ni Kako peke yako,ulikakuta kapo "sealed"?!
Yaani mambo yote humu duniani yakufanya kusaidia Dunia,Kilimo,sayansi,msaada kwa wasio nacho,kutoa Elimu,kijana wa kibongo anawaza,asome apate ajira,aoe,ale bata Kwisha kazi,ni kusubili kufa tu!
Wadogo zangu,wanawake wa sasa hawana mzamana,Ikulu zao zimeanza kutembelewa na "maraisi"tofauti tofauti,mpaka wewe unafika kuingia,mwenzio ameishazoea fimbo za kila aina,we piga kama mume,mtunze,pateni watoto,akichepuka,amua moja samehe au fukuza,oa mwingine,
Msiwekeze sana hisia kwa wanawake
 
Kuna watu huwa wanasema ukiwa na pesa pia na umaarufu ndani yake mke wako hawezi chepuka. Asa imekuwaje jambo hilo kwenda tofauti ?
Ukiwa na Pesa lazima utachapiwa,kwanini?

Pesa unazitafuta,muda wote uko busy na biashara,trust me watu wenye pesa wanafanya kazi usiku na mchana You cant find him at home hata siku 1.

Hapo ndio kwenye kasheshe,unakua umeshaoa Kazi lazima ziendelee mke anabaki nyumbani nyege zinamkaba asipoenda megwa na katibu kama mke wa masanja basi atamegwa na Mlinzi huyo huyo hapo kwako au House Boy.

Nimesha achwa na wanawake zaidi ya watatu,sababu kuu ni 1 wananiambia sina muda na wao so siwapendi, "si kweli siwapendi" ila niko busy siwezi rudi home mapema mimi wakat usiku ndio mida ina wateja, mchana pia situlii ndio mida nafata stock ya kusambaza maduka yangu.

wa kwanza kanibwaga,nikasema fresh,wapili na watatu sishangai.. Nina mwanamke wangu namwambia kila siku nitamuoa nitakapopata mtu wakusimamia biashara zangu,anahisi ni utani ila kweli sito OA kabla sijapata assuarance ya nani ata run these business nikiwa nmelala pale kitandani na mama kayaiiiii....

Naweza kuoa hata sasa hivi lakini nina uhakika 100% mke wangu atagongwa na kila aina ya mwanaume labda tu nyege zake ziwe zinaishia kiunoni hazifiki kwenye K.

Nawaza kimoyo moyo,mimi kapuku sina chochote kile nipo busy namna hiii, hao wenye mabiashara yao wanayafata China,wanaenda wenyewe uturuki, hali ikoje?

Nikiona muda unaenda Sipati wakusimamia biashara zangu,naoa ila ntazunguka kila mahali na mke wangu simuachi nyuma,acha watu waseme watakavyo ila Simuachi nyuma mke wangu,Tutaenda gongania hata chooni kule kariakooo.

Ukiwa na Pesa halali unazozitafuta mwenyewe,kugongewa hata usishangae! Bado nipo nipo sana aseee.

Nayaona yanayowakuta wengi wanaonizunguka....Mtu kama diamond ana show ratba ipo full booked mpaka January huyu muda wakumgonga mpenzi wake anautoa wapi? basi acha watu wamsaidieeee, nayaona yote hayo Mimi n nani nikimbilie maumivu ya ndoa SITAKIII nipo sana asee.
 
Eeeh kumbe haya Mambo Ni mazito hivyo!Basi hayo ni majibu yake aliyokuwa akiyatafuta
 
Atleast umekuwa so frank with yourself. Well if you don wanna marry then dont. Ni heri umemuweka waZi huyo bibie so kama ataamua kukusubiri its her choice to make.

I think kama mtu uko busy na unaona ndoa huwezi then dont. Maana unaweza oa lakini ndo mambo yakawa ndvyo sivyo...
 
Kuna wakat nilikuwa free San Kia's kwamba nilitaka nianz kwenda kanisani kwa masanja ili walau niopoe pisi kali mle yan bas tu nilikuja kuacha kwenda bada ya kuama mtaa mnk mkp nishaongea na masaaj Seema nn sijapendaa mambo ya kupigana picha kila siku na kuwekwa mtandaoni niliona kabsa hapo sipawezi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ni sahih San hata mm jirani yangu ni mwinjikisit tuko nae jirani ila alizaa had nnje ya ndoa ila kuachwa hajachwa kwani jamaa aliona Ni aibu na Kaz ya uinjlilist ingeisha kwake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Neno moja la kumfariji Masanja mkandamizaji baada ya kugongewa sana mkewe na aliyekuwa katibu wa kanisa lake.
Sasa huoni mgongaji/mwizi amedanja?
Mshindi nani?
Kwani Masanja akichukia anaweza kubeba chombo kipya...mwenye hasara nani?
 
Kuna wattu wanaoa ama kuolewa ati kulinda heshima kumbe wanakwepa heshima
 
Walokole wenyewe wakina Muna Love sijui wakina Rose Muhando. bora kuoa kahaba tu ijulikane moja
 
Kuna mchezo, time will tell...alipokiwa ana date nae Monica si alikuwa ameolewa?? Kwa nn aingie Mazima??
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana
Ni kwamba mchungaji anakula Mali za marehemu tuishi humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…