Kuna watu huwa wanasema ukiwa na pesa pia na umaarufu ndani yake mke wako hawezi chepuka. Asa imekuwaje jambo hilo kwenda tofauti ?
Ukiwa na Pesa lazima utachapiwa,kwanini?
Pesa unazitafuta,muda wote uko busy na biashara,trust me watu wenye pesa wanafanya kazi usiku na mchana You cant find him at home hata siku 1.
Hapo ndio kwenye kasheshe,unakua umeshaoa Kazi lazima ziendelee mke anabaki nyumbani nyege zinamkaba asipoenda megwa na katibu kama mke wa masanja basi atamegwa na Mlinzi huyo huyo hapo kwako au House Boy.
Nimesha achwa na wanawake zaidi ya watatu,sababu kuu ni 1 wananiambia sina muda na wao so siwapendi, "si kweli siwapendi" ila niko busy siwezi rudi home mapema mimi wakat usiku ndio mida ina wateja, mchana pia situlii ndio mida nafata stock ya kusambaza maduka yangu.
wa kwanza kanibwaga,nikasema fresh,wapili na watatu sishangai.. Nina mwanamke wangu namwambia kila siku nitamuoa nitakapopata mtu wakusimamia biashara zangu,anahisi ni utani ila kweli sito OA kabla sijapata assuarance ya nani ata run these business nikiwa nmelala pale kitandani na mama kayaiiiii....
Naweza kuoa hata sasa hivi lakini nina uhakika 100% mke wangu atagongwa na kila aina ya mwanaume labda tu nyege zake ziwe zinaishia kiunoni hazifiki kwenye K.
Nawaza kimoyo moyo,mimi kapuku sina chochote kile nipo busy namna hiii, hao wenye mabiashara yao wanayafata China,wanaenda wenyewe uturuki, hali ikoje?
Nikiona muda unaenda Sipati wakusimamia biashara zangu,naoa ila ntazunguka kila mahali na mke wangu simuachi nyuma,acha watu waseme watakavyo ila Simuachi nyuma mke wangu,Tutaenda gongania hata chooni kule kariakooo.
Ukiwa na Pesa halali unazozitafuta mwenyewe,kugongewa hata usishangae! Bado nipo nipo sana aseee.
Nayaona yanayowakuta wengi wanaonizunguka....Mtu kama diamond ana show ratba ipo full booked mpaka January huyu muda wakumgonga mpenzi wake anautoa wapi? basi acha watu wamsaidieeee, nayaona yote hayo Mimi n nani nikimbilie maumivu ya ndoa SITAKIII nipo sana asee.