Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Sitaki kuoa halafu nije kuachana na huyo mwanamke kwa sababu zozote zile

ziwe zakuelezeka hadharani au zakutoelezeka,ndio mana nimechagua kuchelewa kuoa.
Hpn contola unaweka maswal ya ndoa to complete cated yaani unaoa eti uache shughuli zako kiza umeoa sijui umri wako vzr ila fikra zako Ni down Sana kwenye swal la ndoa ,mwanamke kuachwa Ni dadik tu usizani kisa umeshindwa nae nyumbabi siku nzima hamuwezi achana ..nadhani wee usioe tu zalisha tu mkuu mnk sioni mwanaume hapa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Masanja kapewa go ahead na situation kamili

Pesa anayo, akiamua kuchakata papuchi hakuna wa kumzuia

Alafu walokole ni wanafki kichizi,
Ukiwaona ni wakimya, kumbe wanagawa papa
 
jaman vijana tafuteni pesa ukweni hawataki elimu
 
Sasa unaambiwa jamaa alikuwa na mahusiano Naye kitambo yaani hata baada ya ndoa na wameachana mwezi mmoja means masanja alikuwa anachitiwa kitambo zaidi ya miaka kadhaa huoni hapo ndoa iko matatani si unajua inavyouma kwa sisi wanaume kugongewa mke
Wadau humu jf wanasemaga ukioa singo maza umeoa mke wa mtu, je huyu mke wa mtumishi alikuwa ni singo maza?
 
Isiwe wanampromote Monica maana masanja na huyo msukuma wake...msiba upo wapi
 
Mchanganuo wako ni bab kubwa.
 
Wanaume wakati mwingine tunazingua kmmkee
Mambo mengine ya aibu haya ameacha aibu hata kama umependa hakufikilia pia anakuachaje mama ake? Ok the thing is nangoja nione masanja atareact vipi sababu Leo ata wasafi Sunday worship haja kuepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…