Aisee ..mke kaliwa tope ama?Kwa mpalange inahusika hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee ..mke kaliwa tope ama?Kwa mpalange inahusika hii
Hpn contola unaweka maswal ya ndoa to complete cated yaani unaoa eti uache shughuli zako kiza umeoa sijui umri wako vzr ila fikra zako Ni down Sana kwenye swal la ndoa ,mwanamke kuachwa Ni dadik tu usizani kisa umeshindwa nae nyumbabi siku nzima hamuwezi achana ..nadhani wee usioe tu zalisha tu mkuu mnk sioni mwanaume hapaSitaki kuoa halafu nije kuachana na huyo mwanamke kwa sababu zozote zile
ziwe zakuelezeka hadharani au zakutoelezeka,ndio mana nimechagua kuchelewa kuoa.
Sometime ni kutoa gundu tu homeHiv hao watu mpaka wanaoana wanakuwa wamependana kiaje...
Au ni kutimiza wajibu?
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ila maisha haya daah!View attachment 2375269
Katibu kama katibu.... Inanikumbusha yule mama mchungaji aliyesema vijana msionje wakubwa zenu... Wanajua sana kusonga ugali!
Laiti ningekuwa na uwezo ningezipiga marufuku. Zinaharibu sana vichwa vya watu.Hizi tamthilia za Kifilipino wanazoangalia vijana wetu zinawatesa sana! [emoji2365][emoji2365][emoji2365]
jaman vijana tafuteni pesa ukweni hawataki elimuMara kadhaa tumeshauriwa Kuchunguza wake zetu mienendo yao, Hali sio nzuri kila sehemu watu wanagegedana sio mchezo. Chini hapa ni ujumbe wa kijana aliyekua anatoka kimapenzi na bibie monica ambae ni mke wa Masanja;
"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA
Asante Kwa kunipenda Kipindi chote hakika umenipa Upendo ambao umeacha alama moyoni mwangu ambao kila nikijaribu kuifuta nimeshindwa sioni upendo wako wa Mwanzo hivyo nimebaki Kuumia MOYONI kwa kukosa
REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGU[emoji24] SIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA
BILA PENZI LAKO NASEMA SIWEZI[emoji24]
MONICA SAMAHANI kwa MAAMUZI nitakayo yafanya NAJUA uamini kama naweza kufanya hivi kwa sababu ya PENZI Lako BUT NAOMBA upelewe kua umefanya nione THAMANI YA MAPENZI katika huu ULIMWENGU kupitia wewe so SIWEZI KUISHI BILA PENZI LAKO,
SIONI TENA MAANA YA MAISHA [emoji24]. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.
Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU [emoji24]. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.
MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.
KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.
Watu wanajadili ya Monica na Jamaa Juha Liandamizi Jamvini linatuletea Mambo ya Manara.Manara kakazia vijana tutafute pesa.
Hicho sio kigezo, kwanza waimba kwaya wana maajabu sana, tunayaona mengi makanisani mwetu.Monica si mlokole muimba kwaya..haya yanatoka wapi
Wadau humu jf wanasemaga ukioa singo maza umeoa mke wa mtu, je huyu mke wa mtumishi alikuwa ni singo maza?Sasa unaambiwa jamaa alikuwa na mahusiano Naye kitambo yaani hata baada ya ndoa na wameachana mwezi mmoja means masanja alikuwa anachitiwa kitambo zaidi ya miaka kadhaa huoni hapo ndoa iko matatani si unajua inavyouma kwa sisi wanaume kugongewa mke
Hili jambo lina utata mkubwa.Kama ujumbe aliutuma kwa Monica mbona Sasa upo mtandaoni?Ina maana Mrs Pastor karuhusu hii siri owe hadharani?
Marehemu ni Fara Ameshindwa Kuwaza Kuhusu Wazazi Wake na Familia TakeTujitahidi kuwa karibu na familia zetu jamani
Mchanganuo wako ni bab kubwa.Hakuna kanuni ya kumtuliza mwnamke hawa watu mara nyingi huwa wanapagawa zaidi na kile ambacho mwanaume wake hana na ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye kila kitu.. ukiwa na kazi utagongewa na jobless ukiwa jobless utagongewa na mwenye kazi, ukiwa mfupi utagongewa na mrefu ukiwa mrefu utagongewa na mfupi, ukiwa na pesa utagongewa na masikini ukiwa masikini utagongewa na mwenye pesa, ukiwa maarufu utagongewa na ambae sio maarufu usipokua maarufu utagongewa na mtu maarufu, ukiwa na kitambi utagongewa na mwenye six pscks ukiwa na six packs utagongewa na mwenye kitambi
Umechelewa kukemea, pepo ameshatibua.Pepo toka katika jina la yesu muachie Monica nasema Pepo toka
yan kuna umuhimu wa kuzunga viwanja ukajionea, yan kwa nundu zilizopo hapa small planet kweli nijajikil aisee sio kweliiiStarehe zote hizi duniani then unajiua?how?