Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Baba mchungaji na katibu wamekaa kipiga dili tu hamna kanisa hapo
 
Huwezi kuwa kiongozi wa kiroho hasa ukawa kwenye siasa za ccm kama sio mtu wa makandokando kuficha uchafu wako. Masanja kanisa analitumia kwa mambo yake anayoyajua muda utasema tu
 
Inavyoonekana huyu jamaa kauwawa halafu wakamwandikia barua.. sio rahs mtu kujiua kwa ajili ya mke wa mtu.....na hii press da Police inazidisha zaid maswali
 

kwa kawaida mwanaume kipaumbele chake ni heshima sio kupendwa au kubembelezwa. Ukiona anaweka mbele kupendwa au kubembelezwa ujue ni tatizo, ana mambo ya kike kike
 
Kanisa linaitwa Feel Free Church.
Kuna walakini mkubwa kwa aina hii ya makanisa, mara nyingi yana asili yake kule kwa Biden na yanahamasisha watu wawe huru pasipo kufuata kanuni za asili za kimaumbile na kukaidi amri na sheria za Mungu Mwenyezi. Kwa kifupi yanajenga fikra za uasi kwamba watu wawe huru kufanya chochote wanachotaka bila hofu yoyote, unaweza kuamua kuwa shoga, msagaji nk. pasipo kuhisi hatia yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…