Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Lisemwalo lipo,huyu jamaa tetesi za kuuza unga amekuwa nazo ni muda mrefu sana na ni watu wake wa karibu ndio wanayazungumza,jiulize Masanja ana biashara gan za kwenda nje ya nchi kila mara?[emoji848],kingine kama anajiamini na biashara zake anazofanya why amekua ni chawa wa kusifiasifia kila kitu kinachofanywa na serikali hata kama hakistahili kusifiwa
Huwezi kuwa kiongozi wa kiroho hasa ukawa kwenye siasa za ccm kama sio mtu wa makandokando kuficha uchafu wako. Masanja kanisa analitumia kwa mambo yake anayoyajua muda utasema tu
 
Inavyoonekana huyu jamaa kauwawa halafu wakamwandikia barua.. sio rahs mtu kujiua kwa ajili ya mke wa mtu.....na hii press da Police inazidisha zaid maswali
 
Kijana alijua akioa mama mchungaji Monica atahudumia yeye na mkewe gafla kashanga mama mchungaji ahudumii amkatii ten avitambaa vya kushona suriali hampi vi elfu kumi kumi

Unazani utafanyaje una mke anaitaji matunzo na wewe umezoea tuzwa 😂😂 kaona isiwe taabu ngoja nipumzike kwa

Kijana alijua akioa mama mchungaji Monica atahudumia yeye na mkewe gafla kashanga mama mchungaji ahudumii amkatii ten avitambaa vya kushona suriali hampi vi elfu kumi kumi

Unazani utafanyaje una mke anaitaji matunzo na wewe umezoea tuzwa 😂😂 kaona isiwe taabu ngoja nipumzike kwa amani
kwa kawaida mwanaume kipaumbele chake ni heshima sio kupendwa au kubembelezwa. Ukiona anaweka mbele kupendwa au kubembelezwa ujue ni tatizo, ana mambo ya kike kike
 
Kanisa linaitwa Feel Free Church.
Kuna walakini mkubwa kwa aina hii ya makanisa, mara nyingi yana asili yake kule kwa Biden na yanahamasisha watu wawe huru pasipo kufuata kanuni za asili za kimaumbile na kukaidi amri na sheria za Mungu Mwenyezi. Kwa kifupi yanajenga fikra za uasi kwamba watu wawe huru kufanya chochote wanachotaka bila hofu yoyote, unaweza kuamua kuwa shoga, msagaji nk. pasipo kuhisi hatia yoyote.
 
Halafu anatokea bwege ananiambia nioe, wa kuoa nitakuwa mimi bana?

Sitaki linikute jambo kama la Masanja. Najua kupika, kufua kuosha vyombo n.k!
DSC_0507.JPG
 
Back
Top Bottom