Kuoa ni ushauri mzuri kama atampata rafiki yake waoane.. Lakin ushaur wa kufata mke kijijini acha kabsa. Wameshapindua meza kwa umalaya alafu bila tahadhari. Bora mjini kila msichana ni malaya kwa malengo.Hpn sio sahih kubaki hvyo wanawake wote hawako hvyo ,tatizo unaoa wanawake wenye majina makubwa na mastaa wa hapa mjini ,kijana toka nenda Kijiji kwenu au mkoani huko kaibue mke wako akija kunadilika mpe red cards Kisha utamrejeaa tena
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
NakaziaKuoa ni kujiongezea matatizo. Iwe kiakili kimwili na kiimani. Jitahidi goku usiingie kwenye dimbwi lenye karaha kama ndoa ....
Alafu anatokea Bwege ananiambia nioe,
Wakuoa nitakuwa mimi Bana.
Sitaki linikute jambo kama la Masanja
Najua,kupika kufua kuosha vyombo etc.View attachment 2381717Kuchapiwa ni siri ya ndani mkubwaa
Wapare wamekuzidi kila kitu.
... hili jibu kampe Masanja, sijui kama atakuelewa.Kuoa ni zaidi ya kupika,kufua na kuosha vyombo.
Hata hivyo ndoa ni kwaajili ya wanaume tu, tena wenye akili.
Vijana wa miaka hii ni legelege sana. Kama unaogopa kuoa unataka uolewe?
Sijui kwanini baba yako Alimwagia kwa ndani..
Dah mitandao inaharibu vijana
😂Mzee umeweka carrot na Hoho kabisa,huo Muda umeutoa wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] enzi zenu kulikuwa na nyeto babu acha uongo babuNaishi na bibi yako lakini nilipiga nyeto enzi zangu kupata demu ilikuwa kazi ngumu kuliko sasa hivi kupata milioni 10.
Vijana mna raha sana mnatongoza kwa simu/wasap/meseji au unatuma pesa kwenye simu demu anajua kuwa unataka uchi.
Maisha yenu ni rahisi na laini sana ndio maana wengi wenu hata mattyakko yenu ni lainilaini.
Tumemshauri kuchapiwa ni siri ya ndani nawe katafute upigilie msumari mpaka mwisho! Sasa yeye kelele rusha roho sijuwi kutaka kujitia kitanzi nk. Yeye angekaa kimya ahubiri avune kwa kondoo wake vya kutosha, siajabu angehurumiwa na kondoo aliyeumbuka kuliko wifey! 😎🤒🤠... hili jibu kampe Masanja, sijui kama atakuelewa.
Na badala akae kimyaa ye kila siku makelele kanisani kwake.
Kuchapiwa kunauma, Masanja kaacha kuhubiri kabaki kutoa mipasho.
#YNWA
Tunapiga nyeto na unga wa yanga (unajua unga wa yanga wewe?)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] enzi zenu kulikuwa na nyeto babu acha uongo babu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sawa. Kwani wote tuna ishi same.? Taja kwenu ukute hata kabila lako unaona aibu kulitaja.Nabishaa..
Same Kuna nini? Bora hata wagweno wa Mwanga.
#YNWA