Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
Kuoa ni ushauri mzuri kama atampata rafiki yake waoane.. Lakin ushaur wa kufata mke kijijini acha kabsa. Wameshapindua meza kwa umalaya alafu bila tahadhari. Bora mjini kila msichana ni malaya kwa malengo.Hpn sio sahih kubaki hvyo wanawake wote hawako hvyo ,tatizo unaoa wanawake wenye majina makubwa na mastaa wa hapa mjini ,kijana toka nenda Kijiji kwenu au mkoani huko kaibue mke wako akija kunadilika mpe red cards Kisha utamrejeaa tena
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Waharibifu no 1 ni boda boda.