Ujumbe wa Diamond kwa bintiye Wazua Utata

Wababa wa mwendokasi shida tupu aisee maneno gan hayo ya kumwambia mwanaee hivo sasa yeye ka alikua hakitulizi anafikiria na tiffah atatulia lazima arithi hyo tabia

hahahahahaha we jamaa umenifanya nicheke sana..
 
Inawezekana ndio msharti hayo. Dunia duara hii!!!!!!
 
me nazani diamond anafanya vizur miaka hii hakuna kuoneana aibu kumuonya mtoto kwa sasa mtoto miaka 12 anagongw sasa kwanin tusiwaeleze watoto ukweli ili wasialibike

We ndo jinga kweli kw umri huo nd umwambie
 
Namtabiria kuwa Mungu akipenda atapata watoto wakike tu!! Asijue alipokosea.
 
Diamond kiki zake zimesimamia kwenye Ngono na Birthday. Sasa si jambo la kushangaa akimtumia mwanae kuendeleza kiki maana anaowategemea washachoka na kuzeeka.

Poor Domo.
 
Pumba kutoka kwa baba, hivi unaanzaje kumwambia mtoto wako hivo? Ovyo
Ningekuwa Diamond haraka sana ningeomba radhi na kufuta upuuzi wote nilioandika....Lakini kwasasa yuko juu!!!je ataweza kufanya hivyo?
To be wealth is to be happy and to have silly mind
 
Matatizo ya kulelewa uswahilini...

Hata ukipata exposure bado utakuwa na mambo ya kiswahili swahili tuu....Diamond anawaza ngono tuu...
 
Diamond kiki zake zimesimamia kwenye Ngono na Birthday. Sasa si jambo la kushangaa akimtumia mwanae kuendeleza kiki maana anaowategemea washachoka na kuzeeka.

Poor Domo.
Jasiri haachi asili...mswahili atabaki mswahili tuu hata kama akipata exposure...

Pathetic fool Diamond
 
Hivi kwani tifffa kasikia au ni umbea wenu tu.!!
 
Reactions: iw8
 
Ni mtazamo wake ndicho anachowaza akilini mwake ndio makuzi aliyolelewa ndio maisha yake
1)chibu amelelewa na mm alikua anayaona yote aliyokua anayafanya mamke so amejifunza kwa vitendo
2)utandawazi mazingira unamfanya ngono kuona ni jambo la kawaida inafikia hatua hata mama watoto wake anliwa denda na madenza wake yeyebanaona na anona kawaida
3)tetesi zinasema mamake anatembea na mnenguaji wake naye anaona ni kawaida tu
binafsi shishangai chibu kuyatamka haya kwa binti yake
ila kwetu sisi kama jamii iwe fundisho kwamba kila uhuru una mipaka yake ambayo usipoizingatia ndio huzaliwa haya
 
Ningekuwa Diamond haraka sana ningeomba radhi na kufuta upuuzi wote nilioandika....Lakini kwasasa yuko juu!!!je ataweza kufanya hivyo?
To be wealth is to be happy and to have silly mind
Inawezekana ni over joy, make furahi ikizidi unaezajikuta unaongea visivotakiwa, ila kwa hilo amekosea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…