Wababa wa mwendokasi shida tupu aisee maneno gan hayo ya kumwambia mwanaee hivo sasa yeye ka alikua hakitulizi anafikiria na tiffah atatulia lazima arithi hyo tabia
hahahahahaha we jamaa umenifanya nicheke sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wababa wa mwendokasi shida tupu aisee maneno gan hayo ya kumwambia mwanaee hivo sasa yeye ka alikua hakitulizi anafikiria na tiffah atatulia lazima arithi hyo tabia
me nazani diamond anafanya vizur miaka hii hakuna kuoneana aibu kumuonya mtoto kwa sasa mtoto miaka 12 anagongw sasa kwanin tusiwaeleze watoto ukweli ili wasialibike
Minds zetu wabongo zimeshafuka sana. Tunamhukumu mshkaji kwa tafsiri zetu wenyewe. Pengine hakumaanisha tunachofikiria.
muacheni na mtoto wake...zaa wako uweke masharti
Ningekuwa Diamond haraka sana ningeomba radhi na kufuta upuuzi wote nilioandika....Lakini kwasasa yuko juu!!!je ataweza kufanya hivyo?Pumba kutoka kwa baba, hivi unaanzaje kumwambia mtoto wako hivo? Ovyo
Jasiri haachi asili...mswahili atabaki mswahili tuu hata kama akipata exposure...Diamond kiki zake zimesimamia kwenye Ngono na Birthday. Sasa si jambo la kushangaa akimtumia mwanae kuendeleza kiki maana anaowategemea washachoka na kuzeeka.
Poor Domo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hili jamvi la jf mwisho kabisaaaaa...Elimu Elimu Elimu
Alichokiandika Diamond kitakaa milele..Ipo siku huyo tiffa sijui nani atakuja kuona ujumbe baba yake alivyoandika kuhusu yeyeHivi kwani tifffa kasikia au ni umbea wenu tu.!!
![]()
Diamond Platnumz si mgeni kwenye jumbe tata kwenye mitandao ya kijamii.Lakini ujumbe wake mpya kwa bintiye,Tiffah umesababisha mjadala mkubwa.
Akiweka picha ya binti yake huyo ambaye mwezi ujao anatimiza mwaka mmoja, Diamond aliandika: Buff day Girl! my little Pumpkin My Miss World @princess_tiffah kua mama, nikupe Raha ya Dunia na ujifaidie Ustar wako….. ila dah ukikua chonde mama ukitunze wasikile sana #KIDOGO tu, Maana ntalificha wapi hili sura langu.”
Maneno: Ukikua chonde mama ukitunze wasikile sana #KIDOGO tu’ ndiyo yaliyosababisha povu la haja.
Hizi ni baadhi ya comments:
Twinsrebeccita: Hivi mtoto hajafikisha hata miaka miwili ushaanza kufikiria masuala yake ya ngono!!!! Maneno ya bure kwako, usitumie utupu wa mwanao kutangaza biashara yako.
Precioushamis: Mungu auTunze usichana wako /ujana wako tiffah, kinywa cha baba yako kishindwe kwa jina la yesu amina
Jahmolbiggz: Daym did u just wrote that? Any real Dad out there won’t even think of writing such words to her dota.. Shit is Crazy
Madimwashiti: @princess_tiffah never follow your parents foot steps. U need more prayer. @diamondplatnumz better pray for this little girl coz what goes around comes around. Many many little SIMBAS out there want spare you dear. That is my own thoughts. Think about it NASSEB
Neyesu Daniel: Diamond ww sio baba mwema! Utaanzaje kumwambia bint ako ivo!? Umenikera mbna unakosa madil ya kiafrika?? Acha izo bna kama ww una njia ambazo si nzur bc mfunze mwanao akue vema!
Rajabu Mussa: Tena atakua amefuata Tabia Za Huku na huku(kwa maza n baba) maana kote kote hakuna mwenye afazali…….ukila nawe utaliwaaaaa japo #Kidogo
Tuzo Hella: Atii aliwe kidogooo!!! Labda wakati anaandika hiyo post hakuwa poa!!alionja kidogo ile kitu ya Arusha inarushanga akili,coz diamond hukogi na akili mingi sasa alifikiri nn kuandika hayo maneno hayo!!eti mtt akulwe kidogo kweliii!!!! D your not serious
Unaounaje ujumbe huo?
Madam nakusalimiaPumba kutoka kwa baba, hivi unaanzaje kumwambia mtoto wako hivo? Ovyo
Inawezekana ni over joy, make furahi ikizidi unaezajikuta unaongea visivotakiwa, ila kwa hilo amekosea sanaNingekuwa Diamond haraka sana ningeomba radhi na kufuta upuuzi wote nilioandika....Lakini kwasasa yuko juu!!!je ataweza kufanya hivyo?
To be wealth is to be happy and to have silly mind
Watu huharibu wanapokuwa overjoyed nkInawezekana ni over joy, make furahi ikizidi unaezajikuta unaongea visivotakiwa, ila kwa hilo amekosea sana