Angalieni hili...
Mithali : Mlango 6
32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
Japo dini imemruhusu but dimond hajaoa amekuwa mzinifu toka mziki wake unakuwa...
Kinyume cha kazi na sala kwa baadhi ya wasanii ni kazi na uasherati.... Angalieni wanavyoweka laana kwenye kazi zao...
Na kwabahati Biblia inaonyesha kuwa lile joka, nyota ya alfajiri wakati linatumwa duniani LUCIFER,, Hakupokonywa uweza wake... Kumbuka huyu alikuwa juu sana akiimba sifa usiku na mchana ktk viwango vya juu...
Ndiyo linawapa kiburi na kuwatia wazimu kiumbe mwanadamu... Kutoka na sifa yake ya kuimba, Shetani ndiye anayewapa melody za hatari sana wasanii wa dunia,,, tungo zake wakati mwingine zinawateka hadi walokole... Unajua ni kwann??
Ni kwasababu uweza ule aliondoka nao... Laiti hawa wasanii wa dunia wangekuwa wanamuimbia Mungu....
Ndugu zangu wa JF nawahakikishia dunia ingekuwa imefika mbali..
Sasa msanii akishafika mbali kimuziki huwa anaongezewa na uchafu juu... Unajua ni kwann?
Ufunuo wa yohana : Mlango 12
12 Kwa hiyo shangilieni, enyi mbingu, nanyi mkaao humo. Ole wa nchi na bahari! Kwa maana yule Ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi, akijua ya kuwa ana wakati mchache tu.
Shetani huwa ana dili na ICON mtu ambaye ni kielelezo kwa jamii... Vielelezo vyote anavitia roho roho ya uasheraji.. Mana kupitia huyo atajinyakulia wengi kumbuka ana muda mchache sana...
Turudi pale mwanzo kuhusu uzinzi Biblia inasema mtu aziniye afanya jambo litakaloungamiza mwili yake, mana yake hii hapa kupitia lile tendo la kusugua uchi wa mwanamke pale ni lazima damu imwagike kwenye vichubuko ukeni na pale damu inapomwagika jua umefanya agano... Ndiyo mana kwenye ndoa hilo tendo ni takatifu
Unapokuwa muasherati lile agano ni lazima liwe hai mana umeuza nafsi yako ndiyo hiki kizazi cha nyoka
Na kibaya zaidi hata kama utatubu utasamehewa dhambi but adhari ya uasherati itabaki kwenye mwili wako...
Ndipo hapo unapokuta mtu kama huyu diamond anadiriki kuandika uchafu kwenye media kwa damu yake mwenyewe..
Madhara ya zinaa.... Kizazi cha nyoka.