Ujumbe wa Diamond kwa bintiye Wazua Utata

Ujumbe wa Diamond kwa bintiye Wazua Utata

Angalieni hili...

Mithali : Mlango 6
32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake

Japo dini imemruhusu but dimond hajaoa amekuwa mzinifu toka mziki wake unakuwa...

Kinyume cha kazi na sala kwa baadhi ya wasanii ni kazi na uasherati.... Angalieni wanavyoweka laana kwenye kazi zao...

Na kwabahati Biblia inaonyesha kuwa lile joka, nyota ya alfajiri wakati linatumwa duniani LUCIFER,, Hakupokonywa uweza wake... Kumbuka huyu alikuwa juu sana akiimba sifa usiku na mchana ktk viwango vya juu...
Ndiyo linawapa kiburi na kuwatia wazimu kiumbe mwanadamu... Kutoka na sifa yake ya kuimba, Shetani ndiye anayewapa melody za hatari sana wasanii wa dunia,,, tungo zake wakati mwingine zinawateka hadi walokole... Unajua ni kwann??

Ni kwasababu uweza ule aliondoka nao... Laiti hawa wasanii wa dunia wangekuwa wanamuimbia Mungu....

Ndugu zangu wa JF nawahakikishia dunia ingekuwa imefika mbali..

Sasa msanii akishafika mbali kimuziki huwa anaongezewa na uchafu juu... Unajua ni kwann?

Ufunuo wa yohana : Mlango 12
12 Kwa hiyo shangilieni, enyi mbingu, nanyi mkaao humo. Ole wa nchi na bahari! Kwa maana yule Ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi, akijua ya kuwa ana wakati mchache tu.

Shetani huwa ana dili na ICON mtu ambaye ni kielelezo kwa jamii... Vielelezo vyote anavitia roho roho ya uasheraji.. Mana kupitia huyo atajinyakulia wengi kumbuka ana muda mchache sana...

Turudi pale mwanzo kuhusu uzinzi Biblia inasema mtu aziniye afanya jambo litakaloungamiza mwili yake, mana yake hii hapa kupitia lile tendo la kusugua uchi wa mwanamke pale ni lazima damu imwagike kwenye vichubuko ukeni na pale damu inapomwagika jua umefanya agano... Ndiyo mana kwenye ndoa hilo tendo ni takatifu

Unapokuwa muasherati lile agano ni lazima liwe hai mana umeuza nafsi yako ndiyo hiki kizazi cha nyoka
Na kibaya zaidi hata kama utatubu utasamehewa dhambi but adhari ya uasherati itabaki kwenye mwili wako...

Ndipo hapo unapokuta mtu kama huyu diamond anadiriki kuandika uchafu kwenye media kwa damu yake mwenyewe..
Madhara ya zinaa.... Kizazi cha nyoka.
 
hayo ndio matatizo ya kuwa na pesa kisa ukakosa elimu diamond kukosa kwake elimu kuna muathiri sana hajui lipi aseme lipi afiche....baadae anajikuta amesema la siri linaloonekana analificha.
 
duuu tifah ukikua mwangalie sana dingi yako anaweza kuomba umpe kidogo afungulie kina hamonizer njia
 
uyu nae au ndo kaanza kichidi chidi nini?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
what goes around comes around, kila mla cha mwenzie na chake huliwa hapo ni tafakuri yake ya halihalisi jinsi alivytafuna watoto wa wenzie na pia kuonesha kiwango duni cha elimu ambacho licha ya exposure kubwa bado ubongo wake una kutu
 
Amekurupuka huyu na kuandika kitu cha kipumbavu mno. Aombe radhi hadharani kwa huu ujinga aliouandika na ahakikishe ujinga kama huu hautatokea tena siku za usoni.
 
Mkuu Daudi Mchambuzi mimi ni mmoja wa wale wanaomtetea huyu jamaa humu, lakini kamwe siwezi kuutetea huu upumbav.u aliouandika. Kama kuna yeyote atakayemtetea kwenye hili huyo akili yake itakuwa na walakini mkubwa sana.

Huo ndiyo mwisho wake wa kufikiri huwezi kuamini kuna watu watamtetea mtovu huyu wa nidhamu.
 
Shame, huwezi kumwambia binti yako au hata kuambiwa labda kazaa kumtumia mtoto tu afanye business sio mapenzi ya mzazi na mtoto. Abadilike ni vibaya sana kwa mtoto hizo drama zenu huko ila jifunze kupenda mtoto km mtoto sio kama bidhaa.
 
Back
Top Bottom