Ujumbe wa Kamonga siku ya Mazingira Duniani

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Mchekeshaji anayetoa elimu pia, Kamonga ametuma ujumbe kuwa "Leo Juni 5, tunasherehekea Siku ya Mazingira Duniani, siku ambayo inatuwezesha kutafakari umuhimu wa mazingira yetu na wajibu wetu wa kuyalinda.

"Ni wakati muhimu sana kwa taifa letu kujikita katika juhudi za kuthibiti magonjwa ya mlipuko, ambayo yanaweza kuathiri sio tu afya yetu binafsi, bali pia ustawi wa taifa letu."


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…