Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Hatulaumu misaada ila anayesaidia ndiye anayekuwa na kauli kubwa kwakuwa ndiye mwenye uwezo hivyo kwakuwa wewe ni mnyonge huwezi kukataa asiandike maandishi yanayomtambulisha kuwa ni yeye aliyekusaidia. Asipoandika unaweza ukaanza kujigamba kuwa ni nguvu zako kumbe ni msaada. Kuna mtu nilimsikia akisema anaomba mkopo na pesa za kulipa anazo. Sasa kama unapesa za kulipa unaombaje mkopo? Si utumie hizo pesa ulizonazo?upo sawa lakini China ameweka sharti kuwa viwanda vyake vyote vilivyopo Marekani, Emirate, (Dubai) Tanzania huko Vingunguti, Kunduchi hata Bagamoyo lazima vioneshe ni watu wa China
angalia bulb na vifaa vya majumbani vimeandikwa Made in PRC (People Repulic of China) na hiyo bulb ya energy save inawaka chumbani kwako, angalia simu zetu za Nokia
lakin tunalaum misaada
si misaada jamani hata vyupi boxer na sidiria Made in PRC