Ujumbe wa Leo: Chadema ni IMANI kama ilivyo IMANI KATOLIKI ambayo serikali haiwezi kuiua

Ujumbe wa Leo: Chadema ni IMANI kama ilivyo IMANI KATOLIKI ambayo serikali haiwezi kuiua

Yangu ni hayo kwa Leo.

Chadema iko kwenye mioyo ya watu. NI IMANI THABITI NDANI YANGU, NDANI YAKO NA WEWE.

CHADEMA NI KAMA IMANI YA DINI, HUWEZI KUIUA.
NONSENSE,

nani alikwambia siasa ni ushirikina gentleman?
 
Kwa sasa ni kawaida kumuona mwananchi ana kadi ya ccm, lakini anamkubali/anamuunga mkono Mheshimiwa Tundu Lissu. Hii ni hatari sana kwa ccm, siku ikitokea uchaguzi huru na wa haki.
 
Back
Top Bottom