R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Apr 1, 2026 #1 Yangu ni hayo kwa Leo. Chadema iko kwenye mioyo ya watu. NI IMANI THABITI NDANI yangu, ndani yako na wewe. CHADEMA NI KAMA IMANI YA DINI, HUWEZI KUIUA.
Yangu ni hayo kwa Leo. Chadema iko kwenye mioyo ya watu. NI IMANI THABITI NDANI yangu, ndani yako na wewe. CHADEMA NI KAMA IMANI YA DINI, HUWEZI KUIUA.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 51,453 Reaction score 41,274 Apr 1, 2026 #2 Retired said: Yangu ni hayo kwa Leo. Chadema iko kwenye mioyo ya watu. NI IMANI THABITI NDANI YANGU, NDANI YAKO NA WEWE. CHADEMA NI KAMA IMANI YA DINI, HUWEZI KUIUA. Click to expand... NONSENSE, nani alikwambia siasa ni ushirikina gentleman?
Retired said: Yangu ni hayo kwa Leo. Chadema iko kwenye mioyo ya watu. NI IMANI THABITI NDANI YANGU, NDANI YAKO NA WEWE. CHADEMA NI KAMA IMANI YA DINI, HUWEZI KUIUA. Click to expand... NONSENSE, nani alikwambia siasa ni ushirikina gentleman?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Apr 1, 2026 #3 Kwa sasa ni kawaida kumuona mwananchi ana kadi ya ccm, lakini anamkubali/anamuunga mkono Mheshimiwa Tundu Lissu. Hii ni hatari sana kwa ccm, siku ikitokea uchaguzi huru na wa haki.
Kwa sasa ni kawaida kumuona mwananchi ana kadi ya ccm, lakini anamkubali/anamuunga mkono Mheshimiwa Tundu Lissu. Hii ni hatari sana kwa ccm, siku ikitokea uchaguzi huru na wa haki.
TheForgotten Genious JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 2,853 Reaction score 4,503 Apr 1, 2026 #4 Tlaatlaah said: NONSENSE, nani alikwambia siasa ni ushirikina gentleman? Click to expand... Ushirikina Hiyo kwioooo
Tlaatlaah said: NONSENSE, nani alikwambia siasa ni ushirikina gentleman? Click to expand... Ushirikina Hiyo kwioooo