Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Deogratius Ndejembi,amewaasa vijana kwa kuwaambia kwamba wazo linalozaliwa leo kwenye fikra za kijana wa kitanzania linaweza kuwa kampuni inayoajiri mamia kesho na kuhudumia masoko ya Afrika Mashariki na kwingineko.
Huu ndio ujumbe mkubwa uliotawala ufunguzi wa kongamano la Wiki ya Biashara Bunifu Tanzania 2026 lililofunguliwa tarehe 19 Oktoba 2026 katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam.
Huu ndio ujumbe mkubwa uliotawala ufunguzi wa kongamano la Wiki ya Biashara Bunifu Tanzania 2026 lililofunguliwa tarehe 19 Oktoba 2026 katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam.