Ujumbe wa Masoud kipanya na Aliyosema leo Samia

Ujumbe wa Masoud kipanya na Aliyosema leo Samia

Nas Jr

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2018
Posts
7,920
Reaction score
8,675
Kuna uhusiano wa alichofanya Samia na huu ujumbe wa Masoud?
1e64da90e8994a269fbee142080bf984.jpg
 
Sidhani kama Mr Kirati yuko sahihi, kwa sababu mwenye uwezo wa kuliondoa tatizo husika si mtawala bali raia. Unless kama alimaanisha hao ^washangaao^ ni raia wa JMT.
 
Hivi Kipanya amespecialize kwenye katuni za kisiasa tu, tena zenye maudhui ya ulalamishi tu?

Siku akija na katuni yenye maudhui positive kuhusu Tanzania mnitag.
 
Hivi Kipanya amespecialize kwenye katuni za kisiasa tu, tena zenye maudhui ya ulalamishi tu?

Siku akija na katuni yenye maudhui positive kuhusu Tanzania mnitag.
Kwani hujaona Ile ya Tanga fresh, he vipi Ile ya mama mwenye nyumba kwenda kufunzwa udereva, kuogelea n.k.
 
Hivi Kipanya amespecialize kwenye katuni za kisiasa tu, tena zenye maudhui ya ulalamishi tu?

Siku akija na katuni yenye maudhui positive kuhusu Tanzania mnitag.
Unaposema positive itakuwa unamaanisha za kusifia? Kama ni hizo hiyo si kazi yake, inatakiwa ifanywe na serikali yenyewe kwani serikali ina vitengo vingi vya PR
 
Back
Top Bottom