Ujumbe wa Sakayo

Status
Not open for further replies.
Wewe ni muoga sanaa ,unatishiwa na kila kitu, list ya marafiki
umejuaje me muoga sana jamaan yaan tena wanaume ndio nawaogopa mimi labda baby wangu tu ndio nimemzoea
 
umejuaje me muoga sana jamaan yaan tena wanaume ndio nawaogopa mimi labda baby wangu tu ndio nimemzoea
Hehehee acha uwoga, utakosa vitu vizuri maan ukiwa mwoga huwez kuwa na confidence
 
Urafiki wa mwanamke kwa mwanamke huwa wamashaka sana,
Aaahh... Huu usingizi unanichosha acha nirudi zangu kulala, BTW endelezeni undugu wenu Mungu awasimamie, Shunie msalimie Lee mwambie hapokei simu zangu kwanini?
 
shem kila mtu na mawazo yake ujue lakini ukweli tunaujua sisi wenyewe salaam za lee zimefika au kama atapita ataziona
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…