ukijiamini utajiona una hogo la jangombe acha kuwaza sababu ya maumbile uliyonayo muombe Mungu akupe mwanamke wa kufanana na wewe wa kukupenda wewe kama ulivyoShunie unaona sasa tunavyosakamwa jamani! Mungu anawaona Hivi kwanini hawa mabody builder wa kibongo wana vibamia??
Ewaaaawewe ndio ulianza yeye akamalizia si unajua sisi tunavumilia mwisho tunachoka
aminaAmina mamy, nawe Mungu akutunze
Ulinifananisha tu, sikuwa mimi wallahWe ndo ulianza lakini, hata leo Nimekuona mahali
Kabisaababu ushindwee ujue huu uzi hausiani na hayo mambo huku ni sakayo tu
Mbona Mguno mdogo wangu
Shauri zako... we mwendekeze tuEtiiiii
Akikujibu niiteShunie nini shida?
Hahahahahahhah kumbe huwa unafanya maksudi unataka nipanic na pm nilitoka saa hiyo hiyo sijarudi tena
Najua Sina cha kukulipa lkn naamini Allah atakulipia inshallah. Namshukru Allah zoezi letu limemalizika salama leo tusichoke kuombeana. Ukiwa free plz ni-call I have something to share whith u.Wooow
Najua msaada wangu kwako ni sehemu tu ya upendo nilionao kwako.
Wewe pia umekuwa sehemu ya maisha yangu kama sio ndugu. Mungu azidi kukuweka zaidi, naamini mapito ulonayo yatapita kabisaa na kila kitu kitakuwa Sawa
Kila nikikutana na wewe babu unampiga michuchu sound