Ujumbe wa Sakayo

Ujumbe wa Sakayo

Status
Not open for further replies.
We ndo ulianza lakini, hata leo Nimekuona mahali
Ulinifananisha tu, sikuwa mimi wallah

images
 
Wooow
Najua msaada wangu kwako ni sehemu tu ya upendo nilionao kwako.
Wewe pia umekuwa sehemu ya maisha yangu kama sio ndugu. Mungu azidi kukuweka zaidi, naamini mapito ulonayo yatapita kabisaa na kila kitu kitakuwa Sawa
Najua Sina cha kukulipa lkn naamini Allah atakulipia inshallah. Namshukru Allah zoezi letu limemalizika salama leo tusichoke kuombeana. Ukiwa free plz ni-call I have something to share whith u.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom