Ujumbe wa Sakayo

Status
Not open for further replies.
hapana dada ujumbe mzito sana kwako kama namuona huyo kaka
Ni kweli mdogo wangu, anajua nililomfanyia. Hata mie sio kwa akili zangu, najua ni Mungu tuu ndo alinitumia jamani
 
Ni kweli mdogo wangu, anajua nililomfanyia. Hata mie sio kwa akili zangu, najua ni Mungu tuu ndo alinitumia jamani
Mungu azidi kukubariki nakupenda sana
 
Najua Sina cha kukulipa lkn naamini Allah atakulipia inshallah. Namshukru Allah zoezi letu limemalizika salama leo tusichoke kuombeana. Ukiwa free plz ni-call I have something to share whith u.
Hakika Mungu ni muaminifu, naamini kila kitu kitakuwa Sawa tu. Hamna linalomshinda... Tuombeane uzima kwa kweeli..

Usijali nitakutafuta
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…