Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmmhHuku ndio kumrudia Mungu??
![]()
Yeye kasema katoka bhana, halafu namuamini mdogo wanguShauri zako... we mwendekeze tu
Ni wewe jamani, kila siku nilikuwa nalia, zile sms tamu ukaacha kunitumia
Ntaenda kuscreenshot afu nikutumie alichofanya leo saa tisa alasiri...Yeye kasema katoka bhana, halafu namuamini mdogo wangu
Ni kweli mdogo wangu, anajua nililomfanyia. Hata mie sio kwa akili zangu, najua ni Mungu tuu ndo alinitumia jamanihapana dada ujumbe mzito sana kwako kama namuona huyo kaka
Hahahammh acha uchochezi ujue
Tena pepo lako ndio gumu kutoka kuliko mapepo mengineshindwaaa sina pepo mimi
hilo pepo la hela analo sakayo me sina kabisa naogopa hela za watuTena pepo lako ndio gumu kutoka kuliko mapepo mengine
View attachment 519761
Hakika Mungu ni muaminifu, naamini kila kitu kitakuwa Sawa tu. Hamna linalomshinda... Tuombeane uzima kwa kweeli..Najua Sina cha kukulipa lkn naamini Allah atakulipia inshallah. Namshukru Allah zoezi letu limemalizika salama leo tusichoke kuombeana. Ukiwa free plz ni-call I have something to share whith u.
Acha tuu, uliniumiza sana we babu. Mungu ni shahidiJamaniiii.....