Ujumbe wa Sakayo

Ujumbe wa Sakayo

Status
Not open for further replies.
Basi wewe upo maungoni mwangu! Nitoe katika list ya waoaji afterall sijawahi kuona hata paja la mwanamke tangu nizaliwe sana sana naona mapaja ya akina Gigy wakiwa wanapapaswa na msando tu.
pole jamaan kwa nini sasa ebu jiamni bana kuwa wewe ni mwanaume ukijiamini hivyo kila kitu kitakaa sawa
 
I can't say anymore about that human, but I salute to her. Unajua mwenyewe nini Mungu alikupa ndani ya nafsi yako. Naomba unisamehe Sana maana sikutegemea kama ipo siku utanitoa sehemu pagumu km nilipokua maana Ata niliokua nikijivunia kuwa watanisaidia mpaka Sasa siwaoni. Naamini Unajua nn ulikifanya kwangu but I believe ipo siku Mungu atakulipia.
mmh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom