Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Kho Kho Khohuyo ndio mume wa sakayo na anakuja muda si mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kho Kho Khohuyo ndio mume wa sakayo na anakuja muda si mrefu
kampelewele nisikilize jiamini kwanza halaf sisi wanawake sio wote wanapenda midude mikubwa ukijikubali kwanza ww kila kitu utaona cha kawaida anza kutafuta mwanamke kwanzaNataka nibadili dini niwe Padri ili kuficha aibu ya kibamia changu. Ni maumbile nsamehe bure!
Leo umeusononesha sana moyo wangu...Babuuu
Hakuna awali mbovuu ujue
Ushauri unaweza kukubaliwa au kukataliwa. Nakuomba kwa moyo mkunjufu niukatae, kwa nini nichekwe wakati mie sikujiumba. Nitakuwa Padri tu kwani huko hakuna mtu anataka akione kibamia chako. Au unataka uwe sista?kampelewele nisikilize jiamini kwanza halaf sisi wanawake sio wote wanapenda midude mikubwa ukijikubali kwanza ww kila kitu utaona cha kawaida anza kutafuta mwanamke kwanza
WooowI can't say anymore about that human, but I salute to her. Unajua mwenyewe nini Mungu alikupa ndani ya nafsi yako. Naomba unisamehe Sana maana sikutegemea kama ipo siku utanitoa sehemu pagumu km nilipokua maana Ata niliokua nikijivunia kuwa watanisaidia mpaka Sasa siwaoni. Naamini Unajua nn ulikifanya kwangu but I believe ipo siku Mungu atakulipia.
aisee haya pole basiUshauri unaweza kukubaliwa au kukataliwa. Nakuomba kwa moyo mkunjufu niukatae, kwa nini nichekwe wakati mie sikujiumba. Nitakuwa Padri tu kwani huko hakuna mtu anataka akione kibamia chako. Au unataka uwe sista?
Asante mdogo wangunishakusaidia mie
Asante na ubarikiweaisee haya pole basi
Amina mamy, nawe Mungu akutunzekila la kheri mpendane zaidi na Mungu awasaidie
MmmmhSio jukwaa langu... jukwaa lake.
Anayoyafanya kule mi nimeamua kumwachia Mungu
Ooohna mm sipo nimeshaleft